- "Ningeutoa mkono wangu wa kulia kuwa sisimizi."
- "Ukifika kwenye njia panda, ifuate."
- "Unaweza kujionea mengi tu kwa kutazama tu."
- "Hakuna mtu huenda hapo tena pamejaa umati.".
- "Siwezi kuwa makini wakati ninapo waza."
- "Umbele sio kama ulivyokuwa."
- "Sita wanunulia watoto wangu kamusi-elezo. Waacha watembee kwenda shule kama nilvyofanya.".
- "Tumepotea, lakini tunauda wakati mzuri."
- "Nusu ya uongo wanenao kunihusu si kweli."
- "Shiringi si thamani ya peni tena."
- "Ni kama Deja Vu, mara nyingine tena."
- "Hayajaisha mpaka yawe yameisha."
- Bi Lindsay: "Wewe hakika nimtanashati." Yogi Berra: "Asante, si eti umaridadi sana pia."
- "Kama ulimwengu walikuwa kamili, haungelikuwa."
| Entry #12398
|
Nitatoa mkono wangu wa kulie kwa ajili ya kuweza kutumia mikono yote 2
Unapofika kwenye njia panda, pita hapo
Unaweza kugundua mambo mengi kwa kutazama tu
Hakuna mtu anayekwenda pale tena, panajaa mno.
Nashindwa kuwa makini ninapokuwa na mawazo
Baadae haiko kama ilivyokuwa
Sitawanunulia wanangu kamusi. Waache watembee kwenda shule kama nilivyofanya
Tumepotea lakini tunafurahia muda wetu
Nusu ya uongo unaoambiwa kuhusu mimi sio kweli
Senti 5 haina thamani ya senti 10 tena
Ni marudio kwa mara nyingine tena
Sio mwisho mpaka ifike mwisho
Mrs Lindsay: “Unaonekana mtaanashati” Yogi Bera: “Asante, nawe pia huonekani kuwa na mvuto”
Kama dunia ingekuwa kamili, isingekuwapo
| Entry #12422
|
Ningegawa mkono wangu wa kulia kupata uwezo wa kuandika na mikono yote miwili.
Ukifika njia panda, ifuate.
Unaweza kuona mengi kwa kutizama tu.
Watu hawaendi huko siku hizi. Kuna msongamano mkubwa wa watu.
Siwezi kutafakari wakati nafikiri.
Siku za baadaye si kama za hapo zamani.
Sitawanunulia watoto wangu kamusi elezo, waache watembee kwenda shule kama nilivo fanya.
Tumepotea, lakini kasi yetu ya mwendo ni nzuri.
Nusu ya uongo wanaosambaza juu yangu, sio kweli.
Shillingi haina tena thamani ya senti kumi siku hizi.
Ni marudio yana jirudia upya.
Hayajaisha mpaka ya ishe.
Mama Lindsay: unaonekana umetulia. Yogi Berra: Asante, nawewe unaonekana kama vile, hali yako sii nzuri.
Dunia ingekua timilifu, isinge kuwa dunia.
| Entry #12463
|
- "Ningependa kutoa mkono wangu wa kulia kuwa ustadi."
- "Wakati umefika ku gawanyika katika barabara, chukua hiyo."
- "Unaweza kuangalia mengi paka mu ' kuona."
- "Hakuna mtu huenda hapo tena. Ni pia liojaa".
- "Siwezi kuolea wakati mimi nina mawazo."
- "Baadaye hayiko na tumika tena vile ilikuwa ."
- "Mimi si kwenda kununua watoto wangu ensaiklopidia. Waache wabo kutembea kwa shule kama mimi.".
- "Sisi ni kupotea, lakini sisi ni kufanya wakati mzuri."
- "Uongo Nusu wao kuwaambia kuhusu mimi si ya kweli."
- "Nickel ni si thamani ya sarafu ya senti kumi tena."
- "Ni kama Deja Vu, yote tena."
- "Ni si zaidi ya mpaka ni juu."
- Bi Lindsay: "Wewe hakika kuangalia baridi." Yogi Berra: "Asante, huwezi kuangalia hivyo moto mwenyewe."
- "Kama ulimwengu walikuwa kamili, ayitakuwa ni."
| Entry #12298
|
"Ningeukata toa mkono wangu wa kulia ili niwe na ustadi wa kutumia mikono yote miwili."
- "Wakati utakapofika njia panda, endelea nayo."
- "Unaweza kutambua mengi kwa kutizama tu."
- "Hakuna mtu anayeenda tena pale. Kuna watu wengi mno. "
- "Siwezi kufikiri kwa makini wakati ninapowaza."
- "Maisha ya baadaye sio kama yalivyokuwa zamani."
- "Sitawanunulia watoto wangu ensaiklopidia. Kama mimi, waache waende wenyewe shule. "
- "Tumepotea, lakini tutafika mapema."
- "Nusu ya maneno ya uongo wanaosema kuhusu mimi si ya kweli."
- "Pesa hazina thamani tena."
- "Ni kama naona marudio, yote tena."
- "Hayataisha mpaka yatakapoisha."
- Bi Lindsay: "Umependeza ile mbaya." Yogi Berra: "Asante, wewe pia hujapendeza sana."
- "Kama dunia ingekuwa ya kuridhisha, isingekuwa."
| Entry #12041
|
- “Nimetoa msaada kuwa mwenye ujuzi.”
- “Ukipata bahati itumie.”
- “Unaweza kuona mengi kwa kutizama zaidi. “
-“Hakuna mtu anayekwenda pale tena. Kuna msongamano.”
- “Siwezi kuwa makini wakati nafikiria.”
- “Wakati ujao sio kama ulivyozoeleka kuwa.”
- “Siwapi watoto wangu vitu vingi nao pia wasome kama nilivyosoma mimi.”
- “ingawa tumepoteza lakini tunaishi vizuri.”
- “uongo waliosema kuhusu mimi sio kweli.”
- “Senti tano ni ya thamani kuliko senti kumi.”
- “kwa mara nyingine tena, ni kama Deja-Vu, .”
- “si mwisho mpaka imekamilika.”
- Bi. Lindsay: “unaonekana umechangamka sana.” Yogi Berra: " Asante, nawe pia.“
“Kama ulimwengu ungekuwa sawa, isingekuwa hivyo”
| Entry #12341
|