English to Swahili: The origin of the Akamba of Kenya. | |
Source text - English The Akamba community of Kenya is part of the Bantu Language group. According to Traditional African Stories of origin, they are believed to have originated from the Nzaui hills in Makueni County. They then dispersed from there to Machakos county and Kitui county where they dwell to date. They practice trades and farming. | Translation - Swahili Kabila la Wakamba ni sehemu ya kundi la Wabantu. Kulingana na Simulizi za Kiafrika za Asili ya Binadamu, inaaminika kuwa Wakamba walitokea kwenye mlima wa Nzaui kwenye gatuzi la Makueni. Kutoka hapo walitawanyika kwenye Magatuzi ya Machakos na Kitui. |
English to Swahili: The Origin of The Akamba community of Kenya General field: Social Sciences Detailed field: Education / Pedagogy | |
Source text - English The Akamba community of Kenya is part of the large Bantu language group. According to the Traditional African Stories of origin, it is believed that they originated from the Nzaui hills in Makueni county. They were a man and a woman. They procreated, increased in number then moved to the neighboring counties of Machakos and Kitui where they dwell t date. | Translation - Swahili Kabila la Wakamba ni sehemu ya Kundi kubwa la Wabantu.Kulingana na simulizi za Kiafrika za asili ya binadamu, inaaminika kuwa walitokea kwenye mlima wa Nzaui gatuzi la Makueni. Ilikuwa ni mwanaume na mwanamke. Waliweza kupata watoto na kuongezeza katika idadi. Kufuatia ongezeko hili, walitawanyika katika Magatuzi yaliyokuwa karibu, ambayo ni Machakos na Kitui. |